Kama ilivyoandikwa kwenye BIBLIA kwamba Enendeni ulimwenguni kote mkawafanye watu kua wanafunzi wangu,hivyo basi na sisi tunatimiza kwa njia ya uimbaji.
Kuna Album iliyofanyika kwa kutumia vyombo (instumental version) ambayo tumeitoa ila hatujaanza kuisambaza kwani ndo tupo kwenye mchakato wa kutafuta picha za cover la hiyo album.
WITO:Ombea kazi ya MUNGU Tanzania na kama unaweza ku-support kazi kama hizi utabarikiwa zaidi na kwa namna moja au nyingine utakua umeshiriki katika kuhubiri, Ahsanteni