The Rythim Tanzania

The Rythim Tanzania
Mwanzo ilikua Jerusalem brothers but kwa sasa tunajiita The Rythim na hii ni kwa sababu tunatumia viombo kama ma-guitar,vinanda nk

6/30/2010

calvary's love

calvary's love ni kitu kipya kabisa kutoka kwa EDNA MATINDE,ni msichana ambaye anampenda YESU ndio maana akaamua kuimba na kutoa album iitwayo CALVARY'S LOVE....kama unahitaji album hiyo basi usisite kutuuliza.

No comments: