The Rythim Tanzania

The Rythim Tanzania
Mwanzo ilikua Jerusalem brothers but kwa sasa tunajiita The Rythim na hii ni kwa sababu tunatumia viombo kama ma-guitar,vinanda nk

3/01/2011

JB PROPOSED PHOTO FOR THE INSTUMENTAL VERSION COVER (VOL 2)

Kama ilivyoandikwa kwenye BIBLIA kwamba Enendeni ulimwenguni kote mkawafanye watu kua wanafunzi wangu,hivyo basi na sisi tunatimiza kwa njia ya uimbaji.

Kuna Album iliyofanyika kwa kutumia vyombo (instumental version) ambayo tumeitoa ila hatujaanza kuisambaza kwani ndo tupo kwenye mchakato wa kutafuta picha za cover la hiyo album.

WITO:Ombea kazi ya MUNGU Tanzania na kama unaweza ku-support kazi kama hizi utabarikiwa zaidi na kwa namna moja au nyingine utakua umeshiriki katika kuhubiri, Ahsanteni 

No comments: