The Rythim Tanzania

The Rythim Tanzania
Mwanzo ilikua Jerusalem brothers but kwa sasa tunajiita The Rythim na hii ni kwa sababu tunatumia viombo kama ma-guitar,vinanda nk

3/30/2010

TEACHER AKANIWA

huyu jamaa alifanya kazi kubwa sana katika kuiinua ASSSA KWAYA (ADVENTIST SECONDARY SCHOOL STUDENT  ASSOCIATION) katika swala zima la uimbaji na mpaka sasa bado anafanya kazi za kuinua kwaya zingine kwa kuongozwa na MUNGU ,hivyo tumuombee sana na sisi tujaribu kutumia vipaji vyetu katika kumuinua MUNGU,...

No comments: