taarifa zilizopo sasa zinasema The Rythim zamani walitambuliwa kwa Jerusalem Brothers aka JB wametoa album yao ambayo humo ndani wametumia viombo mbali mbali kama guitor,vinanda nk ni album nzuri na inayovutia kuisikiliza kwa kua kuna karibu kila aina ya uimbaji humo ndani nikimaanisha stlye zote kama R&B ,nk
mashabiki wote wa gospel kaeni tayari.
3/23/2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

1 comment:
najaribu.......
Post a Comment